Hadithi Yetu

Timu ya iLovePDF ipo hapa ili kufanya ushughulikiaji wa hati kuwa rahisi. Kutokana na uzoefu, tunajua kwamba kushughulikia faili za PDF kunaweza kuchukua muda mrefu sana. Si ingekuwa bora zaidi ikiwa muda wako ungetumika vizuri badala ya kuhangaika na PDF?

Ikiwa imeanzishwa na kuweka makao yake Barcelona mwaka 2010, lengo letu daima limekuwa kutoa huduma bila malipo, rahisi kufikiwa, na yenye ubora wa juu ambayo ni rahisi kutumia. Mradi wetu ulianza kama hitaji binafsi, lakini umekua hadi kuwa mradi wa jumuiya ya kimataifa na moja ya tovuti za PDF zilizotembelewa zaidi. Kuwa na uwezo wa kusaidia watu wengi kiasi hiki kunafanya kila mmoja wetu ajisikie kuwa na bahati kweli.

Ili kukidhi mahitaji yako mengi kadiri iwezekanavyo, tumetengeneza programu nyingine mbili. Programu ya iLovePDF Mobile inakuwezesha kuhariri faili za PDF ukiwa popote na iLovePDF Desktop inakuwezesha kuchakata faili bila kutumia mtandao.

Ulituonyesha kuwa matatizo yote ya PDF yanastahili kutatuliwa na ndiyo maana timu yetu ndogo ya wasanidi programu inafanya kazi bila kuchoka ili kukupa hali bora ya uhariri.

Timu

Sisi ni timu ndogo, lakini ya wachache wenye ari tunaofurahia kutengeneza suluhu za kusaidia mamilioni ya watu ulimwenguni kote kuhusu mahitaji yao ya hati

  • Marco
    Mwanzilishi na Mhandisi wa Programu
    Marco Grossi
    Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji
  • Aleix
    Aleix
    Mhandisi wa Programu
  • Anna
    Anna
    Masoko
  • Curial
    Curial
    Msimamizi wa Mradi
  • Juan Eduardo
    Juan Eduardo
    Maendeleo ya Biashara
  • Carles
    Carles
    Usanifu wa Michoro
  • Kalinka
    Kalinka
    Usimamizi
  • Carlos
    Mhandisi wa Programu
    Carlos
    Mhandisi wa Programu
  • Leonardo
    Leonardo
    Mhandisi wa Programu
  • Roberto
    Roberto
    Mhandisi wa Programu
  • Alba
    Alba
    Usanifu wa Michoro
  • Diego
    Diego
    Mhandisi wa Programu
  • Aya
    Mafanikio ya Wateja
    Aya
    Mafanikio ya Wateja
  • Mikel
    Mikel
    Mhandisi wa Programu
  • Jorge
    Jorge
    Mhandisi wa Programu
  • Guillem
    Guillem
    Mhandisi wa Programu
  • Alex
    Alex
    Mhandisi wa Programu
  • Arnau
    Arnau
    Usanifu wa Michoro
  • Laura
    Laura
    Masoko
  • Alvaro
    Alvaro
    Mhandisi wa Programu
  • Imane
    Imane
    Mauzo
  • Sergio
    Sergio
    Mhandisi wa Programu
  • Tom
    Tom
    Masoko
  • Daniela
    Mafanikio ya Wateja
    Daniela
    Mafanikio ya Wateja
  • Sergio
    Sergio
    Mhandisi wa Programu
  • Miriam
    Miriam
    Msimamizi wa Ujanibishaji Lugha
  • Wladi
    Wladi
    Msimamizi wa Mradi
  • Thatiana
    Thatiana
    Maendeleo ya Biashara
  • Juan Oriol
    Juan Oriol
    Ya Kisheria
  • Laura
    Laura
    Rasilimali Watu
  • Marta
    Marta
    Mhandisi wa Programu
  • Marta
    Rodrigo
    Mhandisi wa Programu
  • Alessandro
    Alessandro
    QA
  • Anastasiia
    Anastasiia
    QA
  • Tania
    Tania
    Usanifu wa Michoro
  • Izabela
    Izabela
    Meneja wa Ofisi
  • Marc
    Marc
    Mhandisi wa Programu
  • Fernanda
    Fernanda
    Mafanikio ya Wateja
  • Nora
    Nora
    Mkuu wa Idara ya Mauzo
  • Fortià
    Fortià
    Afisa Usalama
  • Paula
    Paula
    Mhandisi wa Programu
  • Natalia
    Natalia
    Usanifu wa Michoro
  • Alba
    Alba
    Usanifu wa Michoro
  • Daniel
    Daniel
    AI
  • Chloe
    Chloe
    Mafanikio ya Wateja
  • Pauline
    Pauline
    Mafanikio ya Wateja
  • Maria
    Maria
    Rasilimali Watu
  • Liza
    Liza
    Maendeleo ya Biashara
  • Carles
    Carles
    Mhandisi wa Programu
  • Yaroslav
    Yaroslav
    Mhandisi wa Programu
  • Alejo
    Alejo
    Usanifu wa Michoro
  • Antuan
    Antuan
    Kiongozi wa Timu
  • Lautaro
    Lautaro
    Masoko
  • Cristina
    Cristina
    Udhibiti wa Ubora
  • Savvas
    Savvas
    Udhibiti wa Ubora
  • Laia
    Laia
    Msimamizi wa Mradi
  • Xavi
    Xavi
    Msimamizi wa Mradi
Lo! Kuna tatizo na muunganisho wako wa Intaneti...