Weka saini kwenye PDF
Zana yako ya kutia saini ya kielektroniki kwenye hati. Tia saini kwenye hati mwenyewe au tuma ombi la saini kwa wengine.
-
Saini Rahisi
-
Saini ya KidijitaliPremium
Inatia saini hati...
Ni nani atakayetia saini kwenye hati hii?
Weka maelezo ya saini yako
Chora kutoka kwenye
kifaa chako cha simu
au dondosha faili hapa
Miundo inayokubalika: PNG, JPG na SVG
Chora kutoka kwenye
kifaa chako cha simu
au dondosha faili hapa
Miundo inayokubalika: PNG, JPG na SVG
au dondosha faili hapa
Miundo inayokubalika: PNG, JPG na SVG
Tayarisha ombi lako la saini
Nani atapokea hati yako?
Teua chaguo hili ili upange mpangilio wa utiaji saini. Mtia saini hatapokea ombi mpaka mtia saini aliyetangulia aweke saini yake.
Hati hii itaisha muda wake baada ya siku 15.
Chaguo hili litaruhusu kila mtia saini kupokea ombi la kipekee na la tofauti la kutia saini kivyake.
Utapokea arifa kwa barua pepe mpokeaji atakapokuwa amekamilisha ombi lake.
Tuma kikumbusho kwa washiriki kila baada ya siku 1.
Kiwakilishi Kifupi kilichoidhinishwa na Muhuri wa Muda Uliothibitishwa hujumuishwa kwenye hati zilizotiwa saini, hivyo kuhakikisha uaminifu wa hati na sahihi hizo katika siku zijazo. Saini zilizothibitishwa zinazingatia viwango vya eIDAS, ESIGN na UETA.
Arifa zitatumwa kwa lugha ya KiswahiliKiswahili.
Hariri maandishi unayotaka yaonekane kwenye mada na ujumbe wa barua pepe ya ombi la saini.
Onesha msimbo wa Kitambulisho cha Kipekee cha Mtia Saini kinachotokea chini ya saini ili kusaidia kuthibitisha saini kwenye Rekodi ya Ukaguzi. Inapendekezwa uendelee kuutumia , kinyume na hivyo hupunguza uzito wa kisheria wa hati ya mwisho.
Thibitisha kidijitali uadilifu wa hati iliyochapishwa kwa kutumia msimbo wa QR na nywila ya kipekee iliyotolewa katika Rekodi ya Ukaguzi.
Inapendekezwa sana
Jumuisha jina la kampuni na nembo katika barua pepe ya ombi la saini. Vyote viwili vinahitajika ili kutekeleza mipangilio yako.
au dondosha faili hapa
Miundo inayokubalika: PNG, JPG na SVG
Ukubwa unaopendekezwa ni px 300x150.
Maombi mengi
Chaguo hili ni kwa ajili ya watia saini pekee. Ikiwa orodha yako ya wapokeaji ina 'mthibitishaji' na 'shahidi', kuteua chaguo hili kutawaondoa kwenye orodha.
Pia, itaondoa sehemu zote za sasa kwenye hati.
Kuteua chaguo hili kutaondoa sehemu zote zilizowekwa kwenye hati kwa sasa.
Ungependa kuanza kutumia "Maombi Mengi"?
Ungependa kuacha kutumia "Maombi Mengi"?
Jina la Cheti Maalum
Weka barua pepe ya mawasiliano. Tutawasiliana nawe hivi karibuni ili kukuundia cheti cha kipekee kwa ajili ya kampuni au taasisi yako.
Mthibitishaji
Lorem ipsum and bla bla bla
Chagua sehemu
Weka mtia saini kwenye sehemu hii
Chagua watia saini
Inahitaji uboreshaji wa mpango
Aina yako ya sasa ya usajili ni ya Bure au Elimu, ambayo kwa kawaida hutolewa kwa ajili ya tathmini, matumizi ya kitaaluma, au ufikiaji wa muda.
Ili kutumia kipengele hiki, tafadhali boresha kutoka kwenye mpango wako wa Bure au wa Elimu hadi kuwa mpango wa kulipia katika Mipango na Vifurushi.
Weka juu ya
Hati ya sasa:
Ondoa nakala zilizounganishwa
Sehemu ya kuingiza taarifa
Tumia sehemu hii kumtaka mtia saini aweke mwenyewe taarifa kwenye hati.
Hifadhi ombi kama kiolezo
Sasisha kiolezo cha ombi
Kuhifadhi kiolezo cha ombi hukuruhusu kukitumia kama mpangilio uliowekwa awali kwa ajili ya maombi ya baadaye.
Kubofya "Hifadhi" kutabadilisha toleo la sasa la kiolezo:
Omba nywila ya hati
Nywila za hati hutolewa kwa njia za faragha. Mwandikie mwombaji wako ili awasiliane nawe na kukupa nywila hiyo.
Ombi lako la nywila limetumwa kwa mwombaji wa saini. Tafadhali subiri hadi atakapowasiliana nawe.
Jaza taarifa za kila mpokeaji.
1. Linda hati kwa nywila
2. Funga saini kwa msimbo wa SMS
3. Weka mipangilio ya muundo wa rubriki
Buruta na udondoshe sehemu za saini kwenye hati Wawekaji saini watahitaji kujaza sehemu hizi.
Hamisha sehemu hii kwenye ukurasa mwingine au inakili kwenye kurasa kadhaa. Nakala hizo zitaunganishwa na mabadiliko yoyote yataziathiri zote.
Hii ni sehemu iliyounganishwa. Mabadiliko yoyote yatatumika kwenye nakala zake zote.
Unaweza kutenganisha sehemu kwa kubonyeza aikoni ya kiungo.
Njia za mkato za zana
Hapa kuna orodha ya njia za mkato zinazopatikana kwenye zana hii
| Ufunguo | Kitendo |
|---|---|
| s | Weka sehemu ya saini kwenye ukurasa huu |
| i | Weka sehemu ya herufi za mwanzo kwenye ukurasa huu |
| n | Weka sehemu ya jina katika ukurasa wa sasa |
| d | Weka sehemu ya tarehe katika ukurasa wa sasa |
| t | Weka sehemu ya maandishi kwenye ukurasa huu |
| Cmd + c Ctrl + c |
Nakili kipengele kilichochaguliwa |
| Cmd + v Ctrl + v |
Bandika vipengele vilivyonakiliwa |
| Del / Supr | Ondoa vipengele vilivyochaguliwa |
Muundo wa tarehe
Chagua mfumo wa tarehe:
Kiwango cha uaminifu
Saini za Kielektroniki ni halali na zinaweza kutumika kama ushahidi katika taratibu za kisheria ndani ya Ulaya, Marekani na nchi nyingi ambazo zimeweka sheria maalum za saini za kielektroniki. Ongeza vipengele vifuatavyo kwenye mchakato wa kutia saini ili upate ushahidi wa kisheria thabiti zaidi:
Barua pepe ya mpokeaji wako inathibitishwa kwa kumtumia kiungo cha kipekee kinachompa ruhusa ya kuiona hati hiyo.
Hati yako inabadilishwa kuwa PDF/A kwa ajili ya uhifadhi wa muda mrefu ili kuhakikisha kuwa uwezo wake wa kusomeka utabaki vilevile katika siku zijazo.
Mara tu mchakato wa kutia saini hati unapokamilika, Rekodi ya Ukaguzi inatayarishwa. Hati hii huandikisha data ya mpokeaji na shughuli wakati wa mchakato wa kutia saini.
Weka saini kwenye hati zako kwa kutumia Saini za Kidijitali. Aina hii ya saini ya kielektroniki imeidhinishwa na elDAS na inajumuisha Muhuri wa Muda uliopachikwa ndani ya hati husika. Saini hiyo hufutwa ikiwa hati itaharibiwa baada ya kutiwa saini.
Nywila huwekwa na mwombaji kwa ajili ya kila mtia saini, ambayo huwasilishwa moja kwa moja kwao na inahitajika ili kufungua hati husika.
Msimbo huzalishwa kiotomatiki na kutumwa kwa mtia saini kupitia ujumbe mfupi. Ikitokea migogoro ya kisheria, mtoa huduma za simu anaweza kutoa taarifa kuhusu mahali alipokuwa mtia saini wakati wa utiaji saini husika. Kuanza kutumia chaguo hili kutabadilisha saini hii kuwa Saini Endelevu ya eIDAS.
Imarisha uhalali wa makubaliano yako kwa kuongeza msimbo wa Utambulisho wa Kipekee wa Mtia Saini unaoonekana chini ya saini.
Imarisha uhalali wa makubaliano yako kwa kuongeza msimbo wa QR kwenye Rekodi ya Ukaguzi. Kwa kuskani msimbo wa QR, unaweza kupata hati halisi iliyotiwa saini kidijitali ili kuthibitisha maelezo, hata kama imechapishwa.
Sasisha barua pepe yako
Akaunti yako kwa sasa imeunganishwa na email, ambayo inaweza isiwe barua pepe yako unayotumia sasa. Hali hii hutokea mara nyingi unapojisajili kupitia mitandao ya kijamii au SSO. Kwa sababu hiyo, unaweza kukosa taarifa muhimu kama maombi ya kutia sahihi au arifa za hati.
Ili kuhakikisha unapokea mawasiliano yote, sasisha barua pepe yako kwenye mipangilio ya akaunti yako.